forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.0 KiB
Markdown
28 lines
1.0 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Nitamwaga maji katika ardhi yenye kiu, na vijito vinavyotiririka juu ya ardhi kavu
|
|
|
|
Yahwe anazungumza kutoa Roho wake kwa wtu wa Israeli kana kwamba alikuwa akisababisha mvua kuanguka na vjito kutiririka juu ya ardhi kavu.
|
|
|
|
# ardhi yenye kiu
|
|
|
|
Ardhi kavu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa mtu mwenye wivu. "ardhi kavu"
|
|
|
|
# nitamwaga Roho wangu juu ya watoto wako
|
|
|
|
Yahwe anazungumza kumtoa Roho wake kwa watu kana kwmba Roho wake alikuwa kimiminiko ambacho alimwaga juu yao. "Nitatoa Roho wangu kwa watoto wao"
|
|
|
|
# na baraka yangu juu ya wtoto wako
|
|
|
|
Kitenzi kinaweza kutolewa kutoka katika msemo wa nyuma. "na nitamwaga baraka yangu juu ya watoto wako" au "na nitatoa baraka yangu kwa watoto wangu"
|
|
|
|
# Watachipuka juu katika nyasi, kama mierebi kando na vijito vya maji
|
|
|
|
Watu wa Israeli kuwa na mafanikio na kuongezeka inazungumziwa kana kwamba walikuwa mimea ambayo huota kwa sababu wana majii mengi.
|
|
|
|
# mierebi
|
|
|
|
Muerebi ni mti wenye matawi membamba ambayo huota kaaribu na maji.
|