sw_tn/isa/43/04.md

16 lines
683 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Kwa maana una thamani na wa kipekee machoni mwangu
Maneno "thamani" na "kipekee" yana maana moja na yanasisitiza jinsi gani Yahwe huthamini watu wake. "Kwa sababu wewe ni wa thamani kwangu"
# kwa hiyo nitawapa watu kwa kubadilishana kwa ajili yako, na watu wengine kwa kubadilishana kwa maisha yako
Misemo yote ina maana moja. "kwa hiyo nitaruhusu adui kuwashinda watu wengine badala yako"
# Nitaleta watoto wako kutoka mashariki, kukukusanya kutoka magharibi
Pande "mashariki" na "magharibi" huunda neno lenye maana ya kundi na linawakilisha kila upande. "Nitakuleta wewe na wtoto wako kutoka kila upande"