sw_tn/isa/41/23.md

12 lines
333 B
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Yahwe anaendelea kudhihaki sanamu na watu ambao huziabudu.
# fanya kitu chema au kiovu
Maneno "chema" na "kiovu" huunda neno la maana moja na neno na linawakilisha kitu chochote. "fanya kitu chochote"
# yule ambaye anakuchagua
Hapa "anakuchagua" ni wingi na ina maana ya sanamu. "mtu ambaye huchagua sanamu"