# Kauli Kiunganishi Yahwe anaendelea kudhihaki sanamu na watu ambao huziabudu. # fanya kitu chema au kiovu Maneno "chema" na "kiovu" huunda neno la maana moja na neno na linawakilisha kitu chochote. "fanya kitu chochote" # yule ambaye anakuchagua Hapa "anakuchagua" ni wingi na ina maana ya sanamu. "mtu ambaye huchagua sanamu"