# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Mimi ... nitashika mkono wako wa kiume
Yahwe kuwasaidia watu wa Israeli inazungumzwa kana kwamba alikuwa akishikilia mkono wao wa kulia.