# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Mimi ... nitashika mkono wako wa kiume Yahwe kuwasaidia watu wa Israeli inazungumzwa kana kwamba alikuwa akishikilia mkono wao wa kulia.