forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
551 B
Markdown
12 lines
551 B
Markdown
# Mtamlinganisha Mungu na nani? Kwa sanamu ipi mtamfananisha naye"
|
|
|
|
Isaya anatumia maswali mawili ya kufanana kusisitiza ya kwamba hakuna sanamu ambayo inaweza kufanana na Mungu. "Hakuna mtu ambaye unaweza kulinganisha na Mungu. Hakuna sanamu ambayo unaweza kumfananisha"
|
|
|
|
# utamfananisha
|
|
|
|
Huu ni wingi na ina maana ya watu wote wa Mungu.
|
|
|
|
# Fundistadi huichonga: sonara anavyoifunika kwa hahabu na kuichonga mikufu ya fedha kwa ajili yake
|
|
|
|
"Mtumishi mwenye ujuzi huiunda, mwingine huifunika kwa dhahabu, na kutengeneza mkufu wa fedha kwa ajili yake"
|