sw_tn/isa/40/06.md

24 lines
945 B
Markdown

# Nyama yote ni nyasi
Neno "nyama" lina maana ya watu. Msemaji anazungumza kuhusu wanadamu kana kwamba ni nyasi, kwa sababu wote hufa haraka. "Watu wote ni kama nyasi"
# agano lao la uaminifu ni kama maua ya shambani
Msemaji analinganisha agano la uaminifu la watu kwa maua ambayo huchanua na kisha kufa haraka. "agano lao la uaminifu lote huisha haraka, kama ua wa shamba liinavyokufa haraka"
# uaminifu wa agano
Maana zaweza kuwa 1) agano la uaminifu au 2) uzuri.
# pumzi ya Yahwe itakapopuliza juu yake
Maana zaweza kuwa 1) "Yahwe atakapopuliza pumzi yake juu yake" au 2) "Yahwe atakapotuma upepo kupuliza juu yake".
# ubinadamu ni nyasi
Msemaji anazungumzia wanadamu kana kwamba ni nyasi, kwa sababu wote hufa haraka. "watu hufa haraka kama nyasi"
# neno la Mungu wetu litasimama milele
Msemaji anazungumza kile Mungu anasema kudumu milele kana kwamba neno lake husimama milele. "vitu ambavyo Mungu wetu wanasema vitadumu milele"