sw_tn/isa/37/19.md

20 lines
517 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Hezekia anaendelea kuomba kwa Yahwe.
# kwa maana hawakuwa miungu lakini kazi ya mikono ya watu, mabao na mawe tu
Hii inasisitiza ya kwamba wanadamu walifanya sanamu hizi kwa mikono yao wenyewe na kwa hiyo hazina thamani. "kwa sababu ilikuwa miungu ya uongo ambayo watu walitengeneza kwa mbao na mawe"
# kutoka katika nguvu yake
"kutoka kwa mfalme wa nguvu ya Ashuru"
# falme zote
Hii ina maana ya watu katika falme. "watu wote katka falme"
# wewe ni Yahwe pekee
"wewe tu, Yahwe, ni Mungu"