sw_tn/isa/37/01.md

20 lines
530 B
Markdown

# Ikaja kuwa kwamba
Msemo huu unatiwa hapa kuweka alama kwa tukio muhimu katika simulizi.
# alichana nguo zake, akajifunika kwa nguo ya gunia
Hii ni ishara ya kuomboleza na dhiki. "alichana nguo zake na kujifunika kwa nguo ya gunia kwa sababu alikuwa na dhiki sana"
# Eliakimu ... Shebna
Haya ni majina ya wanamume.
# juu ya nyumba
Hii ni lahaja ambayo ina maana ya kwamba alikuwa akisimamia masuala ya kasri ya nyumba. "aliyesimamia kasri"
# wote wakajifunika na nguo ya gunia
Hii ni ishara ya kuomboleza na kuhuzunika.