# Ikaja kuwa kwamba Msemo huu unatiwa hapa kuweka alama kwa tukio muhimu katika simulizi. # alichana nguo zake, akajifunika kwa nguo ya gunia Hii ni ishara ya kuomboleza na dhiki. "alichana nguo zake na kujifunika kwa nguo ya gunia kwa sababu alikuwa na dhiki sana" # Eliakimu ... Shebna Haya ni majina ya wanamume. # juu ya nyumba Hii ni lahaja ambayo ina maana ya kwamba alikuwa akisimamia masuala ya kasri ya nyumba. "aliyesimamia kasri" # wote wakajifunika na nguo ya gunia Hii ni ishara ya kuomboleza na kuhuzunika.