sw_tn/isa/36/08.md

12 lines
320 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Hii inaendeleza ujumbe wa mfalme wa Ashuru kwa Hezekia kwa kuzungumnza ujumbe kwa wanamume wa Hezekia.
# farasi elfu mbili
"farasi 2,000"
# kama unaweza kupata wafunza farasi kwa ajili yao
Kamanda mkuu anaendelea kumdhihaki Hezekia na jeshi lake kwa kudokeza ya kwamba hakuwa na wanajeshi wengi.