# Taarifa ya Jumla Hii inaendeleza ujumbe wa mfalme wa Ashuru kwa Hezekia kwa kuzungumnza ujumbe kwa wanamume wa Hezekia. # farasi elfu mbili "farasi 2,000" # kama unaweza kupata wafunza farasi kwa ajili yao Kamanda mkuu anaendelea kumdhihaki Hezekia na jeshi lake kwa kudokeza ya kwamba hakuwa na wanajeshi wengi.