forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
849 B
Markdown
20 lines
849 B
Markdown
# Waliofidiwa wa Yahwe
|
|
|
|
"kufidia" ina maana ya "kukoa". Hii ina maana ya watu ambao Yahwe kawakomboa. "Wale ambao Yahwe amewaokoa"
|
|
|
|
# furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao
|
|
|
|
Hii inatumia kichwa cha mtu kumaanisha mtu kwa ujumla. "watakuwa na furaha ya milele"
|
|
|
|
# furaha na shangwe ... huzuni na tanafusi
|
|
|
|
Maneno "furaha" na "shangwe" kimsingi ina maana moja, kama vile "huzuni" na "kutanafusi". Kwa pamoja yanasisitiza mkazo wa hisia hizi.
|
|
|
|
# furaha na shangwe itawapita wao
|
|
|
|
Hii inazungumzia watu kushindwa kabisa na furaha na shangwe kwa kuzipatia hisia hizi sifa za kibinadamu ya kuweza kumpita mtu kwa lazima. "watashindwa kabisa kwa shangwe na furaha"
|
|
|
|
# huzuni na tanafusi itatoroka
|
|
|
|
Hii inazungumzia juu ya watu kutokuwa na huzuni na kutanafusi kwa kuzipa hisia hizi uwezo wa kibinadamu wa kukimbia. "hawatakuwa na huzuni na kutanafusi"
|