sw_tn/isa/33/09.md

20 lines
627 B
Markdown

# Nchi inaomboleza na kunyauka
Hii inazungumzia nchi kuwa kavu kana kwamba ilikuwa mtu anayeomboleza. "Nchi kuwa kavu na mimea yake kunyauka"
# anaona aibu na ananyauka
Hii inazungumzia miti ya Lebanoni kunyauka na kuoza kana kwamba Lebanoni ilikuwa mtu ambaye ameaibika. "Miti ya Lebanoni hunyauka na kuoza"
# Sharoni ... Bashani ... Karmeli
Miti mingi na maua iliwahi kuota katika maeneo haya.
# Sharoni ni kama jangwa wazi
Hii inalinganisha jinsi Sharoni ilivyo kavu kwa jangwa wazi. "Sharoni ni kavu kama jangwa wazi"
# Bashani na Karmeli hutikisa majani yao
"hakuna majani tena katika miti ya Bashani na Karmeli"