forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
604 B
Markdown
16 lines
604 B
Markdown
# kuonyesha kusogea kwa mkono wake
|
|
|
|
Hapa "mkono" unawakilisha nguvu ya Mungu. Inadokezwa ya kwamba Yahwe ataonyesha nguvu yake kwa kuangamiza maadui wa watu wake. "onyesha ya kwamba ana nguvu kwa kuangamiza adui zako"
|
|
|
|
# katika dhoruba ya hasira na miale ya moto
|
|
|
|
Hasira ya Yahwe inazungumziwa kana kwamba ilikuwa dhoruba au moto. "katika hasira ambayo ni kama dhoruba na miale ya moto" au "katika hasira kuu"
|
|
|
|
# kwa upepo wa dhoruba, mvua ya dhoruba, na mvua ya mawe
|
|
|
|
"kwa dhoruba iliyojaa upepo, mvua na mvua ya mawe"
|
|
|
|
# mvua ya mawe
|
|
|
|
vipande vigumu vya barafu ambavyo huanguka kutoka angani kama mvua
|