forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
726 B
Markdown
24 lines
726 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Hii inaendeleza tamko la Mungu kuhusu watu wa Yuda.
|
|
|
|
# tamko
|
|
|
|
"Hiki ndicho Yahwe anachotamka"
|
|
|
|
# ya simba jike na simba, kipiribao na nyoka mkali anayepaa
|
|
|
|
Hii ina maana ya aina hawa ya wanyama kwa ujumla. "ambapo simba jike na simba huishi, na ambapo kuna kipiribao na nyoka"
|
|
|
|
# nyoka mkali anayepaa
|
|
|
|
Hapa neno "mkali" huenda una maana ya sumu ya nyoka anapouma na neno "kupaa" lina maana ya kusogea kwake kwa haraka.
|
|
|
|
# wanabeba utajiri wao
|
|
|
|
"watu wa Yuda wanabeba utajiri wao"
|
|
|
|
# nimemuita Rahabu, ambaye hukaa kwa kutulia
|
|
|
|
Kulikuwa na simulizi maarufu kuhusu joka la baharini linaloitwa Rahabu. Jina Rahabu ina maana ya "nguvu" au "kiburi". "Ninaita Misri mwenye kiburi wa sauti ambaye hafanyi lolote"
|