forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
651 B
Markdown
20 lines
651 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Hii inaanza mfano ambao unaisha katika 28:29
|
|
|
|
# Zingatia kwa makini na sikilizia sauti yangu; uwe msikivu na sikiliza maneno yangu
|
|
|
|
Misemo hii miwili ina maana moja. Msemo wa pili unatumka kuimarisha wa kwanza.
|
|
|
|
# sauti yangu
|
|
|
|
Hapa "sauti" inawakiliisha kile Isaya anasema. "kwa kile nachosema"
|
|
|
|
# maneno yangu
|
|
|
|
Hapa "maneno" yanawakilisha ujumbe. "kwa ujumbe wangu"
|
|
|
|
# Je! mkulima anayelima siku nzima kupanda, huwa analima tu? Je! huwa anaendelea kuvunja na kupiga haro shamba?
|
|
|
|
Isaya anatumia maswalii ya balagha kufanya watu wafikiri kwa undani. "Mkulima halimi ardhi tena na tena na kuendelea kufanya kazi bila kupanda mbegu"
|