forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
746 B
Markdown
16 lines
746 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Isaya anaendelea kuzungumza juu ya watu na mji wa Samaria kana kwamba walikuwa shada la maua.
|
|
|
|
# Shada la maua lenye kiburi la walevi wa Efraimu watakanyagwa chini ya miguu
|
|
|
|
Isaya anaendelea kuzungumza juu ya watu na mji wa Samaria kana kwamba walikuwa shada la maua.
|
|
|
|
# shada la maua lenye kiburi ... wa Efraimu ... ambao uko juu ya kichwa cha bonde tajiri
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Jeshi la adui litaponda walevi wenye kiburi wa Samaria kana kwamba walikuwa wakiponda maua chini ya miguu yao"
|
|
|
|
# litakuwa kama mtini ulioiva ... hugugumia chini
|
|
|
|
Hii inazungumzia wanajeshi wa adui kuona uzuri wa Samaria na kupora kwa haraka kana kwamba walikuwa mtu ambaye huona mtini wa kwanza wa msimu na kula haraka.
|