forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
874 B
Markdown
20 lines
874 B
Markdown
# Vuka mpaka Tarshishi
|
|
|
|
"Tengeneza njia yako mpaka Tarshishi". Tarshishi ilikuwa nchi ya mbali watu wa Tiro walisafiri kufanya biashara. Itakuwa sehemu pekee ya usalama kwa wale wanaotoroka kutoka Tiro.
|
|
|
|
# Je! hiki kimetokea kwako, mji wenye furaha, ambao asili yake inatoka kipindi cha zamani ... kukaa?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kukejeli Tiro. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hili hasa limetokea kwako ambaye ulikuwa umejaa furaha katika mji wa zamani wa tiro .. kukaa."
|
|
|
|
# mji wenye furaha
|
|
|
|
Hapa "mji" unawakilisha watu. "watu wenye furaha ambao waliishi katika mji wa Tiro"
|
|
|
|
# ambao miguu yake iliibeba mbali sana katika sehemu za kigeni kukaa
|
|
|
|
Hapa "miguu" inawakilisha mtu mzima. "ambaye alikwenda katika sehemu za mbali kuishi na kutengeneza pesa"
|
|
|
|
# iliibeba mbali sana
|
|
|
|
Hapa "iliibeba" ina maana ya mji wa Tiro ambayo inawakilisha watu wa Tiro.
|