sw_tn/isa/22/03.md

16 lines
506 B
Markdown

# lakini walikamatwa bila upinde
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "lakini adui aliwakamata watawala wako ambao hata hawakuwa wakibeba upinde"
# wote walikamatwa na kushikwa pamoja
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "adui aliwakamata na kuwashika wote pamoja"
# Kwa hiyo nikasema
Hapa "Mimi" ina maana ya Isaya
# wa binti wa watu wangu
Hapa "binti" inawakilisha watu na inaweza kudokeza hisia za Isaya za upendo kwa ajili yao. "'wa watu wangu ambao nampenda" au "wa watu wangu"