# lakini walikamatwa bila upinde Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "lakini adui aliwakamata watawala wako ambao hata hawakuwa wakibeba upinde" # wote walikamatwa na kushikwa pamoja Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "adui aliwakamata na kuwashika wote pamoja" # Kwa hiyo nikasema Hapa "Mimi" ina maana ya Isaya # wa binti wa watu wangu Hapa "binti" inawakilisha watu na inaweza kudokeza hisia za Isaya za upendo kwa ajili yao. "'wa watu wangu ambao nampenda" au "wa watu wangu"