forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.3 KiB
Markdown
36 lines
1.3 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Mungu anatumia fumbo kuhusu mkulima katika shamba la mizabibu ili kufafanua kile atakachofanya kwa taifa fulani. Taifa hilo ni kati ya Kushi au adui wa Kushi.
|
|
|
|
# Hiki ndicho Yahwe alichosema kwangu
|
|
|
|
"Yahwe aliniambia". Hapa neno "kwangu" ina maana ya Isaya.
|
|
|
|
# Nitachunguza kwa utulivu kutoka kwenye nyuma yangu
|
|
|
|
Kile Mungu atakachochunguza kinaweza kuwekwa wazi. "Nitachunguza taifa hilo kwa utulivu kutoka nyumbani kwangu" au "Kutoka nyumbani kwangu, nitatazama kwa utulivu kile ambacho watu wa taifa hilo wanachofanya"
|
|
|
|
# kama joto linalochemka pole pole katika mwanga wa jua, kama wingu la umande katika joto la mavuno
|
|
|
|
Misemo hii inaonyesha jinsi gani Mungu atazama taifa kwa utulivu.
|
|
|
|
# Kabla ya mavuno
|
|
|
|
"Kabla ya mavuno ya zabibu"
|
|
|
|
# pale ambapo uchanuzi umekamilika
|
|
|
|
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba hii ina maana ya kuchanuka juu ya mizabibu. "pale ambapo maua yamekamilisha kuota juu ya mizabibu"
|
|
|
|
# atayakata matawi
|
|
|
|
Kama mkulima anaona ya kwamba tawi jipya halizai tunda, atalikata. "mkulima atakata matawi ambayo hayazai matunda"
|
|
|
|
# makasi ya kupogolea
|
|
|
|
Mkasi wa kupogolea ni kisu ambacho watu hutumia kukata matawi katika mizabibu au mimea mingine.
|
|
|
|
# atakata chini na kuondoa matawi yaliyotawanyika
|
|
|
|
Kama mkulima anaona ya kwamba tawi limeota sana na linafanya mzabibu wote kutozaa matunda mengi, ataukata na kuutupa.
|