forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
855 B
Markdown
20 lines
855 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Hiiinaendeleza unabii kuhusu watu wa Moabu. Mungu anafafanua matukio ambayo yatatokea katika siku za usoni kana kwamba yanatokea kipindi cha sasa.
|
|
|
|
# Kwa hiyo moyo wangu unashuhsa pumzi kama kinubi cha Moabu
|
|
|
|
Msemo "moyo wangu" unawakilisha Yahwe na hisia zake za huzuni. Analinganisha kushusha pumzi kama sauti ya wimbo wa huzuni unaochezwa katika kinubi. "Kwa hiyo ninashusha pumzi kama wimbo wa huzuni katika kinubi"
|
|
|
|
# Moabu .. mwenyewe ... lake
|
|
|
|
Maneno haya yote yana maana ya watu wa Moabu.
|
|
|
|
# kiumbe changu cha ndani kwa ajili ya Kir-Haresethi
|
|
|
|
Msemo "kiumbe changu cha ndani" inawakilisha Yahwe. Neno "kushusha pumzi" linaeleweka kutoka kwa msemo uliopita. "kiumbe changu cha ndani kwa ajili ya Kir-Haresethi" au "Nina huzuni sana kwa ajili ya watu wa Kir-haresethi"
|
|
|
|
# maombi yake hatatimiza kitu
|
|
|
|
"maombi yake hayatajibiwa"
|