sw_tn/isa/14/15.md

24 lines
827 B
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Hii ni sehemu ya wimbo wa dhihaki ambao Waisraeli wataimba kwa mfalme wa Babeli.
# Ingawa sasa unaletwa chini kuzimu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Lakini sasa Mungu amekutuma chini mpaka kuzimu"
# Je! huyu ni mtu
Watu watatumia swali hili aidha kumdhihaki mfalme wa Babeli, au kuonyesha mshangao wao ya kile kilichotokea kwake. "Hakika, huyu siye mwanamume"
# aliyefanya dunia kutetemeka
Maana zaweza kuwa 1) dunia inatetemeka jeshi la mfalme lilipotembea kuwashinda watu, au 2) hii ina maana ya watu wa dunia kutetemeka kwa hofu juu yake.
# kutikisa falme
Maana zaweza kuwa 1) hii sitiari kwa ajili ya "falme zilizodhindwa" au 2) huu ni mfano wa maneno kwa ajili ya "alitisha watu wa falme".
# aliyeifanya dunia kama nyika
"ambaye alifanya maeneo ambao watu waliishi kuwa nyika"