sw_tn/isa/13/21.md

36 lines
873 B
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Yahwe anaendelea kuzungumza kuhusu kile kitakachotokea kwa Babeli.
# watalala pale
"watalala Babeli"
# Nyumba zao
"'nyumba za watu"
# bundi
Bundi ni ndege pori ambao huwinda usiku.
# mbuni
Mbuni ni ndege pori wakubwa ambao hukimbia haraka na hawawezi kupaa.
# Fisi
Fisi ni wanyama pori wakubwa ambao hufanana na mbwa na hula wanyama waliokufa. Sauti zao zaa juu husikika kama mtu achekavyo.
# na mbweha katika kasri nzuri
Maneno "watalia" inaeleweka. "Na mbweha watalia ndani ya kasri nzuri"
# mbweha
mbwa mwitu
# Muda wake umekaribia, na siku zake hazitacheleweshwa
Misemo hii miwili ina maana moja. "Muda wake" na "siku zake" yote ina maana ya kipindi ambacho Mungu alichagua Babel kuangamizwa. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Kipindi ambacho yote haya yatatokea kwa watu wa Babeli kimekaribia, na hakuna kitu kitazuia"