forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
819 B
Markdown
20 lines
819 B
Markdown
# Kelele za kundi katika milima, kama watu wengi
|
|
|
|
Neno "kelele" linaeleweka. Misemo "kundi" na "watu wengi" ina maana moja. "kuna kelele ya watu wengi katika milima" au "Kuna kelele ya kundi kubwa la watu katika milima"
|
|
|
|
# Kelele za ghasia ya falme kama mataifa mengi yaliyokusanyika pamoja
|
|
|
|
MaNeno "kuna" linaeleweka. Maneno "falme" na "mataifa" hapa yana maana ya jambo moja. "Kuna ghasia ya kelele ya falme nyingi zilizokusanyika pamoja"
|
|
|
|
# anawakutanisha
|
|
|
|
"anawakusanya"
|
|
|
|
# kutoka mbali juu ya upeo wa macho
|
|
|
|
"kutoka sehemu mbali kupita upeo wa macho" au "kutoka sehemu za mbali sana"
|
|
|
|
# vyombo vyake vya hukumu
|
|
|
|
Wanajeshi ambao Mungu anawatuma kushambulia Babeli wanazungumziwa kana kwamba walikuwa silaha. "Hukumu" inawakilisha adhabu kwa sababu Mungu alihukumu Babeli. "'jeshi ambalo atalitumia kuadhibu Babeli"
|