# Kelele za kundi katika milima, kama watu wengi Neno "kelele" linaeleweka. Misemo "kundi" na "watu wengi" ina maana moja. "kuna kelele ya watu wengi katika milima" au "Kuna kelele ya kundi kubwa la watu katika milima" # Kelele za ghasia ya falme kama mataifa mengi yaliyokusanyika pamoja MaNeno "kuna" linaeleweka. Maneno "falme" na "mataifa" hapa yana maana ya jambo moja. "Kuna ghasia ya kelele ya falme nyingi zilizokusanyika pamoja" # anawakutanisha "anawakusanya" # kutoka mbali juu ya upeo wa macho "kutoka sehemu mbali kupita upeo wa macho" au "kutoka sehemu za mbali sana" # vyombo vyake vya hukumu Wanajeshi ambao Mungu anawatuma kushambulia Babeli wanazungumziwa kana kwamba walikuwa silaha. "Hukumu" inawakilisha adhabu kwa sababu Mungu alihukumu Babeli. "'jeshi ambalo atalitumia kuadhibu Babeli"