forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
740 B
Markdown
16 lines
740 B
Markdown
# Kwa furaha utateka maji kutoka kwenye visima vya wokovu
|
|
|
|
Isaya anazungumzia watu kukombolewa kana kwamba walikuwa wakipata wokovu kwa namna ambavyo watu hupata maji kutoka kisimani. "utafurahi pale atakapokukomboa, kama watu wanavyofurahi wanapoteka maji kutoka kisimani"
|
|
|
|
# kuliita jina lake
|
|
|
|
Hapa "jina lake" lina maana ya Yahwe. Kuliita jina lake lina maana ya aidha kumsifu au kumwomba msaada. "kumsifu kwa sauti" au "kumwita akusaidie"
|
|
|
|
# kutamka matendo yake miongoni mwa watu
|
|
|
|
Nomino ya "matendo" inaweza kuelezwa na msemo "kile aliuchofanya". "Waambie watu juu ya mambo makubwa aliyofanya"
|
|
|
|
# kutamka ya kuwa jina lake limeinuliwa
|
|
|
|
Hapa "jina lake" lina maana ya Yahwe. "tangaza ya kuwa ameinuliwa" au "tangaza ya kwamba ni mkuu"
|