sw_tn/isa/08/05.md

32 lines
948 B
Markdown

# Kwa sababu watu hawa wamekataa maji ya pole pole ya Shiloa
Maneno "maji ya pole pole" ni sitiari kwa ajili ya sheria ya Mungu. "Kwa sababu watu hawa wamekataa sheria ya Yahwe, ambayo ni kama maji ya pole pole ya Shiloa"
# watu hawa
"kundi hili la watu". "watu hawa wamekataa ... wana furaha"
# na wana furaha juu Resini na mwana wa Remalia
Maana kamili inaweza kuwekwa wazi. "na wana furaha ya kwamba majeshi ya AShuru yameshinda Resini, mfalme wa Aramu, na Peka, mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli.
# kwa hiyo Bwana
Yahwe anazungumza juu yake kana kwmba alikuwa mtu mwingine kuwakumbusha watu yeye ni nani. "kwa hiyo, Mimi, Bwana, ni"
# kuleta juu yao
Kitenzi ni "kuleta juu"; kielezi ni "juu yao".
# juu yao
"ju ya watu wa Yuda"
# maji ya Mto, yenye nguvu na mengi, mfalme wa Ashuru na utukufu wake wote
Mto unaashiria jeshi la Ashuru. "jeshi kutoka Ashuru, ambalo lina nguvu kama mto wenye nguvu"
# Mto
Mto Frati katika Ashuru