forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
668 B
Markdown
16 lines
668 B
Markdown
# ulimi wa moto
|
|
|
|
"mwale wa moto" au "mwale"
|
|
|
|
# kama vile ulimi wa moto unavyomeza mashina ya mabua, na kama vile nyasi kavu zinavyoshuka chini katika mwale
|
|
|
|
Misemo hii ina maana moja. Mungu ataadhibu watu wanaoelezwa katika 5:18. "kama vile moto unavyochoma mashina ya mabua na nyasi"
|
|
|
|
# mashina ya mabua
|
|
|
|
"mashina ya mazao yaliyokauka". Hii ina maana ya sehemu ya mmea ambao umebaki katika shamba kufa baada ya mkulima kukusanya chakula.
|
|
|
|
# mzizi wao utaoza, na maua yao yatapulizwa mbali kama vumbi
|
|
|
|
Isaya anazungumzia watu hawa kana kwamba walikuwa mmea unaokufa. "watakufa kama mmea ambao mizizi yake imeoza na ambao maua yake yamekauka na kupulizwa katika upepo"
|