sw_tn/isa/05/22.md

12 lines
252 B
Markdown

# ambao huachilia waovu kwa malipo
Sehemu hii inasungumzia kuhusu hukumu iliyopotoshwa katika mahakama ya sheria.
# huachilia waovu
"tamka wenye hatia kutokuwa na hatia"
# hunyima asiye na hatia haki zake
"usiwatende watu wasio na hatia kwa haki"