# ambao huachilia waovu kwa malipo Sehemu hii inasungumzia kuhusu hukumu iliyopotoshwa katika mahakama ya sheria. # huachilia waovu "tamka wenye hatia kutokuwa na hatia" # hunyima asiye na hatia haki zake "usiwatende watu wasio na hatia kwa haki"