sw_tn/isa/01/26.md

16 lines
447 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza na watu wa Yuda katika mtindo wa shairi.
# hapo mwanzo ... hapo mwanzo
Hizi ni njia mbili za kuzungumzia sehemu ya kwanza au mwanzo wa historia ya Israeli, pale ambapo Israeli ilipokuwa taifa.
# utaitwa
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "watu watakuita"
# mji wa utakatifu, mji mwaminifu
Hapa "mji" una maana ya watu wanaoishi Yerusalemu. "mji ambao watu ni watakatifu na waaminifu kwa Mungu"