sw_tn/hos/13/14.md

20 lines
441 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Je, nitawaokoa na mkono wa kaburi? Je, nitawaokoa na kifo?
Bwana anatumia swali hili kuwaambia Waisraeli kuwa hatawaokoa na kifo. Lazima atawaadhibu.
# Ewe Mauti yako wapi mapigo yako? Ewe kaburi kuko wapi kuharibu kwako?
Bwana anatumia swali kuwaambia kuwa atawaangamiza mda sio mrefu.
# Huruma itafichwa
Huruma imezungumzwa kama kitu.
# Huruma itafichwa na macho yangu.
"Sina huruma kwao"