sw_tn/hos/10/14.md

16 lines
449 B
Markdown

# Itakuwa kama Shalmani aliharibu Beth Arbeli siku ya vita
Vita inayokuja inafananishwa na vita ya zamani.
# Shalmani
Hili ni jina la mfalme aliyeangamiza mji wa Beth Arberi miaka ya 740 kabla ya Kristo.
# Beth Arberi
Hili ni jina la mji wa kabila la Naftali.
# Kwa hiyo itakuwa kwako, Betheli, kwa sababu ya uovu wako mkubwa
Hapa "Betheli" inawakilisha watu wanaoishi pale. Nabii aliwaambia watu wa Betheli kama vile walikuwa wakimsikiliza.