sw_tn/hos/09/13.md

20 lines
535 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Nabii Hosea anazungumza.
# Nimeiona Efraimu, kama vile Tiro, alipandwa katika mlima
"kupandwa" ni kuwa sehemu salama. "Taifa la Israeli lilikuwa zuri kama mji wa Tiro, kama mti uliopandwa na mtu kwenye mlima"
# akini Efraimu atatoa watoto wake
"watoto" ni watu toka kwenye taifa hilo.
# Wape, Bwana-utawapa nini? Wape
Hosea ametumia swali kusisitiza kuwa anataka Bwana awape wana wa Israeli kile wanachostahili.
# tumbo lenye kuharibu mimba
"kuharibu" inamaanisha ujauzito unakoma mapema na mtoto anakufa.