# Taarifa ya jumla: Nabii Hosea anazungumza. # Nimeiona Efraimu, kama vile Tiro, alipandwa katika mlima "kupandwa" ni kuwa sehemu salama. "Taifa la Israeli lilikuwa zuri kama mji wa Tiro, kama mti uliopandwa na mtu kwenye mlima" # akini Efraimu atatoa watoto wake "watoto" ni watu toka kwenye taifa hilo. # Wape, Bwana-utawapa nini? Wape Hosea ametumia swali kusisitiza kuwa anataka Bwana awape wana wa Israeli kile wanachostahili. # tumbo lenye kuharibu mimba "kuharibu" inamaanisha ujauzito unakoma mapema na mtoto anakufa.