sw_tn/hos/02/18.md

20 lines
465 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Bwana anazungumza na Hosea kuhusu namna atakavyowafanyia Israeli.
# Siku hiyo
Hii inazungumzia kuhusu urejesho wa baadae kati ya Israeli na Bwana.
# Nitafanya agano kwao
Agano la Bwana litajumuisha amani kwa wanyama.
# Nitaondoa upinde, upanga, na vita katika nchi, nami nitakufanya ulale kwa usalama.
Bwana atawaweka adui wa Israeli mbali na wao, hakutakuwa na vita tena watu watakuwa salama.
# ulale kwa usalama
Kuishi kwa usalama.