sw_tn/hos/02/12.md

16 lines
360 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza na Hosea juu ya kile atakachokifanya kwa Israeli.
# Hii ni mishahara ambayo wapenzi wangu walinipa
"huu ndio mshahara ambao atapewa na wapenzi wake"
# Nitawafanya kuwa msitu
Bwana ataangamiza mizabibu na miti yake ya matunda kwa kuruhusu miti mingine na magugu kukua pamoja.
# tamko la Bwana
"ambalo Bwana anasema"