sw_tn/hos/02/10.md

12 lines
298 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza na Hosea.
# nitamvua nguo machoni pa wapenzi wake
Hii inamaanisha Mungu atawaaibisha watu wa Israeli mbele ya mataifa mengine.
# hakuna mtu atakayemwokoa mkononi mwangu
Hakuna mtu atakayewasaidia Israeli. Hapa "mkono" inamaana ya nguvu ya Mungu kuhukumu.