sw_tn/hos/02/08.md

12 lines
334 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza na Hosea.
# Nitachukua sufu yangu na kitambaa kilichotumiwa kufunika uchi wake
Hii ina maana ya kwamba mavuno ya Israeli hayatakua. Bwana ataondoa baraka toka Israeli na watu wataachwa peke yao katika hatari.
# kilichotumiwa kufunika uchi wake
"kitu ambacho watu hutumia kujifunika wenyewe"