sw_tn/heb/13/12.md

20 lines
497 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Kuna ulinganifu kati ya dhabihu ya Yesu na dhabihu za hekalu ya Agano la Kale.
# Kwa hiyo
" Kwa njia hiyohiyo" au "Kwa sababu miili ya kujitoa iliunguzwa nje ya kambi"
# nje yalango la mji
"Nje ya mji."
# Kwa hiyo ngoja sasa twende
Kumtii Yesu kunaongelewa kana kwamba ni mtu alipaswa kuacha kambi kwenda nje Yesu alipo.
# kubeba aibu yake
kutokuwa na huruma kunaongelewa kana kwamba in chombo ambacho kinapaswa kubebwa katika mikono ya mtu au juu ya mgongo wa mtu.