sw_tn/heb/13/12.md

497 B

Sentensi Unganishi:

Kuna ulinganifu kati ya dhabihu ya Yesu na dhabihu za hekalu ya Agano la Kale.

Kwa hiyo

" Kwa njia hiyohiyo" au "Kwa sababu miili ya kujitoa iliunguzwa nje ya kambi"

nje yalango la mji

"Nje ya mji."

Kwa hiyo ngoja sasa twende

Kumtii Yesu kunaongelewa kana kwamba ni mtu alipaswa kuacha kambi kwenda nje Yesu alipo.

kubeba aibu yake

kutokuwa na huruma kunaongelewa kana kwamba in chombo ambacho kinapaswa kubebwa katika mikono ya mtu au juu ya mgongo wa mtu.