forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.3 KiB
Markdown
40 lines
1.3 KiB
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Sehemu hii inamaanisha dhabihu ya wanyama walio wafanya waumini katika Mungu katika kipindi cha Agano Kale, ambayo inafunika dhambi zao kwa muda hadi kifo cha Yesu kilipokuja.
|
|
|
|
# msije mkabebwa na mafundisho mageni mbalimbali
|
|
|
|
usisawichiwe kwa mafundisho mbalimbali kunaongelewa kana kwamba mtu alikuwa amechukuliwa kwa lazima.
|
|
|
|
# moyo unapaswa kuimarishwa
|
|
|
|
"moyo" unasimama kwa ujasiri wa mtu, upendo, na ushupavu.
|
|
|
|
# ni vizuri kwamba moyo ujengwe kwa neema, na siyo kwa vyakula ambavyo haviwasaidii wale wanao tembea kwa hivyo
|
|
|
|
"tunapata nguvu pale tunapofikilia jinsi Mungu ambavyo amekuwa mwema kwetu, lakini hatuwi na nguvu kwa kutii sheria za kuhusiana na chakula"
|
|
|
|
# vyakula
|
|
|
|
Vyakula hapa vinasimama kuhusu sheria za chakula.
|
|
|
|
# wale wanaotembea kwa hizo
|
|
|
|
Kuishi kunaongelewa kana kwamba ni kutembea.
|
|
|
|
# madhabahu
|
|
|
|
madhabahu inasimama kwa sehemu ya ibada. Pia inasimama kwa ajili ya wanyama ambao makuhani katika dhabihu za agano la kale, ambavyo walichukua nyama kwa ajili yao na familia.
|
|
|
|
# damu za wanyama zilizotolewa dhabihu kwa ajili ya dhambi inaletwa na kuhani mkuu sehemu takatifu
|
|
|
|
kuhani mkuu analeta ndani ya sehemu takatifu damu ya wanyama ambao makuhani waliwachinja kwa ajili ya dhambi.
|
|
|
|
# wakati miili yao inachomwa moto
|
|
|
|
"wakati makuhani wanapochoma miili ya wanyama"
|
|
|
|
# nje ya kambi
|
|
|
|
"mbali na mahali ambapo watu waliishi"
|