sw_tn/heb/13/09.md

1.3 KiB

Maelezo ya Jumla:

Sehemu hii inamaanisha dhabihu ya wanyama walio wafanya waumini katika Mungu katika kipindi cha Agano Kale, ambayo inafunika dhambi zao kwa muda hadi kifo cha Yesu kilipokuja.

msije mkabebwa na mafundisho mageni mbalimbali

usisawichiwe kwa mafundisho mbalimbali kunaongelewa kana kwamba mtu alikuwa amechukuliwa kwa lazima.

moyo unapaswa kuimarishwa

"moyo" unasimama kwa ujasiri wa mtu, upendo, na ushupavu.

ni vizuri kwamba moyo ujengwe kwa neema, na siyo kwa vyakula ambavyo haviwasaidii wale wanao tembea kwa hivyo

"tunapata nguvu pale tunapofikilia jinsi Mungu ambavyo amekuwa mwema kwetu, lakini hatuwi na nguvu kwa kutii sheria za kuhusiana na chakula"

vyakula

Vyakula hapa vinasimama kuhusu sheria za chakula.

wale wanaotembea kwa hizo

Kuishi kunaongelewa kana kwamba ni kutembea.

madhabahu

madhabahu inasimama kwa sehemu ya ibada. Pia inasimama kwa ajili ya wanyama ambao makuhani katika dhabihu za agano la kale, ambavyo walichukua nyama kwa ajili yao na familia.

damu za wanyama zilizotolewa dhabihu kwa ajili ya dhambi inaletwa na kuhani mkuu sehemu takatifu

kuhani mkuu analeta ndani ya sehemu takatifu damu ya wanyama ambao makuhani waliwachinja kwa ajili ya dhambi.

wakati miili yao inachomwa moto

"wakati makuhani wanapochoma miili ya wanyama"

nje ya kambi

"mbali na mahali ambapo watu waliishi"