sw_tn/heb/13/01.md

16 lines
358 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
katika kufunga sehemu hii, mwandishi anatoa maelekezo ya moja kwa moja kwa waumini namna wanapaswa kuishi.
# Basi na upendo wa kindugu uendelee
"Endeleeni kuonyesha upendo wenu kwa waumini wengine kama mfanyavyo kwa mwana familia"
# Usisahau
"hakikisha unakumbuka"
# wakaribisheni wageni
"kuwaribisha wageni na kuwaonyesha wema"