# Sentensi Unganishi: katika kufunga sehemu hii, mwandishi anatoa maelekezo ya moja kwa moja kwa waumini namna wanapaswa kuishi. # Basi na upendo wa kindugu uendelee "Endeleeni kuonyesha upendo wenu kwa waumini wengine kama mfanyavyo kwa mwana familia" # Usisahau "hakikisha unakumbuka" # wakaribisheni wageni "kuwaribisha wageni na kuwaonyesha wema"