sw_tn/heb/12/14.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla:

Esau, ambaye amesema katika maandishi ya Musa, inamaanisha kwa mwana wa kwanza wa Isaka na ndugu yake Yakobo.

tafuteni kuwa na amani na kila mmoja

" jaribu kuishi na kila mtu"

na pia ambao bila huo utakatifu hakuna atakayemwona Bwana

"na pia fanya bidii kuwa mtakatifu, kwa sababu ni watakatifu pekee ndio watakaomwona Mungu"

pia utakatifu

"pia tafuta utakatifu"

atakaye tengwa/ pungukiwa na neema ya Mungu

"hakuna mtu anapokea neema ya Mungu na kisha akaiachia" au " hakuna anaikataa neema baada ya kwanza kuamini katika yeye"

kwamba hakuna shina la uchungu litakalo kua na kusababisha shida ili kwamba wengi wasichafuliwe kwalo

kwamba hakuna yeyote anayekuwa kama mzizi mchungu, ambao unaweza kukua na kusababisha matatizo uharibifu kwa watu wengi"

alikataliwa

"baba yake, Isaka, alikataa kumbariki"

kwa sababu hakupata fursa ya kutubu

"kwa sababu haikuwa inawezekana kwa baba yake, Isaka, kubadilisha uamuzi wake"

ingawa alitafuta sana kwa machozi

Hapa aliyetafuta ni Esau