forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.0 KiB
Markdown
36 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Esau, ambaye amesema katika maandishi ya Musa, inamaanisha kwa mwana wa kwanza wa Isaka na ndugu yake Yakobo.
|
||
|
|
||
|
# tafuteni kuwa na amani na kila mmoja
|
||
|
|
||
|
" jaribu kuishi na kila mtu"
|
||
|
|
||
|
# na pia ambao bila huo utakatifu hakuna atakayemwona Bwana
|
||
|
|
||
|
"na pia fanya bidii kuwa mtakatifu, kwa sababu ni watakatifu pekee ndio watakaomwona Mungu"
|
||
|
|
||
|
# pia utakatifu
|
||
|
|
||
|
"pia tafuta utakatifu"
|
||
|
|
||
|
# atakaye tengwa/ pungukiwa na neema ya Mungu
|
||
|
|
||
|
"hakuna mtu anapokea neema ya Mungu na kisha akaiachia" au " hakuna anaikataa neema baada ya kwanza kuamini katika yeye"
|
||
|
|
||
|
# kwamba hakuna shina la uchungu litakalo kua na kusababisha shida ili kwamba wengi wasichafuliwe kwalo
|
||
|
|
||
|
kwamba hakuna yeyote anayekuwa kama mzizi mchungu, ambao unaweza kukua na kusababisha matatizo uharibifu kwa watu wengi"
|
||
|
|
||
|
# alikataliwa
|
||
|
|
||
|
"baba yake, Isaka, alikataa kumbariki"
|
||
|
|
||
|
# kwa sababu hakupata fursa ya kutubu
|
||
|
|
||
|
"kwa sababu haikuwa inawezekana kwa baba yake, Isaka, kubadilisha uamuzi wake"
|
||
|
|
||
|
# ingawa alitafuta sana kwa machozi
|
||
|
|
||
|
Hapa aliyetafuta ni Esau
|